This winter quarter, Prof. Peter Mwangi’s Swahili students translated Covid-19 safety signs around Northwestern University’s campus from English to Swahili.

Popote chuoni Barakoa + umbali wa futi sita baina ya watu. Tuko kwa hili pamoja. Translated by Peace and Florence.

Dumisha umbali wa angalau futi sita kati yako na mwenzako. Tuko kwa hili pamoja. Translated by Peace and Florence

Osha mikono, tunza afya yako. Osha mikono yako kwa maji yanayotiririka kwa sekunde ishirini. Osha mikono, CDC. Maisha ni salama ukiwa na mikono safi. Translated by Leila and Nina.

Masaa ya jengo yamepunguzwa. Jumapili – Jumamosi. saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa tatu kamili usiku (12:00 asubuhi – 3:00 usiku). Translated by Ben and Nyanjala.

Miongozo ya msalani. Epuka kuingia wakati mtu mwingine anapotoka. Dumisha umbali wa futi 6 kati yako na mwenzako unaposubiri kuingia. Nawa mikono yako, kwa kutumia sabuni na maji, kwa angalau sekunde 20. Tumia jaa la takataka la jumla kutupilia mbali barakoa zisizo za hospitali, glavu, na tishu. Translated by Ben and Nyanjala.